298. NINAO WIMBO


Ninao wimbo wa kunifurahisha

Wa Mwokozi, Wa Mwokozi. Namshukuru

Kwa moyo na kwa roho Mwokozi mzuri mno.


Mwokozi-wimbo wangu, Ni Yesu,

Ni Yesu! mahali pote na siku zote

nitamsifu Yesu kwa yote. Mwokozi -wimbo

wangu huku na mbinguni.


Jina lake lafanana na marhamu, Jina lake

Ndilo Yesu. Kutoka kwake Napata vita

Vyema, Mwokozi mpendwa wangu.

Comments

Popular posts from this blog

264. TWENDENI, WAKRISTO

267. BABA NAKUOMBA

263. ENYI KANISA LA MUNGU