264. TWENDENI, WAKRISTO



Twendeni Wakristo wam-pendao Yesu,

Tumwimbie na furaha, Tumwimbie  na furaha

Kitini kwa Mungu, kitini kwa Mungu.


Twendeni  mbinguni sisi tuliookoka,

Twendeni tukatazame fahari ya Bwana wetu.


Hawatafurahi wasiomjua Yesu,

Bali tuokolewao, bali tuokolewao,

Tum-sifu pote, tum-sifu pote.


Tuna mibaraka yake, Mwokozi tele,

Kabla hatujafikia, kabla hatujafikia

Mji  wake Mungu, mji wake Mungu.


Kwa hiyo twendeni furaha izidi,

Tuache huzuni zote, tuache huzuni zote,

Tufike kwa Yesu, tufike kwa Yesu.


Comments

Popular posts from this blog

267. BABA NAKUOMBA

263. ENYI KANISA LA MUNGU