297. CHAKULA CHA ROHO


Chakula cha roho Nipe Bwana,

Ulivyogawanya mkate kale.

Bwana wangu nakutegema.

Kwa neno uonekane kwangu.


Ukaja mkate Wa uzima.

Ni neno linaloniokoa.

Nipe nguvu  zako, na daima

Nigawie Neno la uzima.


Bwana umtume Roho wako

Kuniongoza katika Neno.

Uniguse macho, niwezeshe

Kukutazama katika Neno.

Comments

Popular posts from this blog

264. TWENDENI, WAKRISTO

267. BABA NAKUOMBA

263. ENYI KANISA LA MUNGU