286. ARUSINI HUKO KANA


Arusini huko Kana Yesu alialikwa,

Hapo ikaonekana Ishara ya ajabu.


Ushushe Baraka zako Ju-u ya ndugu hawa,

Bana na Bibi -arusi. Uwaongoze vema.


Leo tunakuhitaji Uwe pamoja nao,

Bwana na Bibi-arusi. Ndoa ibarikiwe


Yesu U mlinzi wao, Uwalinde taabuni.

Uhifadhi nyumba yao, Waishi kwa imani.


Katika raha na taabu Wafungane kwa pendo,

Watumike kwa Furaha Mpaka siku ya mwisho.

Comments

Popular posts from this blog

264. TWENDENI, WAKRISTO

267. BABA NAKUOMBA

263. ENYI KANISA LA MUNGU