282. UKIHITAJI KWELI UTUKUFU


Ukinihitaji kweli utukufu wa Bwana,

Ujalivu wa Roho, Shika Neno la ahadi na

umwendee Baba kwa njia ya Imani!


Atajaza moyo wako ufurike. Bwana Yesu

aita, Njoo bila kusita! Atajaza moyo wako

afurike Roho Mtakatifu.


Vichukue vyombo vyako, Vioshe viwe safi

Kisimani Golgotha. Ujitoe kabisa kwa

Baba na utapewa, Roho moyoni mwako.


Mafuta hububujika hayakomi kabisa,

Kadhalika upendo. Anataka kukujaza na

Roho wa ahadi, Mpokee kwa imani!

Comments

Popular posts from this blog

264. TWENDENI, WAKRISTO

267. BABA NAKUOMBA

263. ENYI KANISA LA MUNGU